MPE VIPAUMBELE MPENZI WAKO - Utundu kitandani

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, June 12, 2019

MPE VIPAUMBELE MPENZI WAKO


Vipaumbele kwenye maisha vipo vingi na kila kimoja kina nafasi yake,,,mwenza wako kuna wakati anahitaji muda wako tu na si kingine,,,wakati mwingine atahitaji umwoneshe kuwa yeye ana nafasi gani katika maisha yako ili awe na uhakika wa usawa,,,uhalisia wa ukweli wa penzi lako kwake,,,,,,unaposhindwa kumpa kipaumbele au muda wako,,,tambua kuwa atahisi kuwa una mwingine muhimu zaidi yake na hata upendo wake kwako utakuwa wa mashaka sababu ya kukosa uhakika kama anapendwa au hapendwi



No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Pages