Ni agizo na nataka ujue nguvu iliyopo katika upendo na heshima,, mwanamke unapoonesha heshima kwa mumeo unachochea nguvu ya upendo kwake,,,kumbuka mwanaume hujiuliza nani hufaa kukaa ndani ya nyumba,,mala zote huvutiwa na heshima yako,,,Jua heshima ikiwa ndani ya pendo lenu basi kuna ustawi pia wew mkaka jua kuwa upendo na KUJALI ni tunda pekee litakalomfanya mkeo kujiona wa tofauti na wa thamani,,,na unapoonesha upendo unachochea heshima kwa mkeo,,NA kumfanya akupende na kukuheshimu siku zote.
Wednesday, June 12, 2019

MWANAUME MPENDE MKEO NA MWANAMKE MUHESHIMU MUMEO
Tags
# Uhondo kitandani
Share This
About Utundu Kitandani
Uhondo kitandani
Labels:
Uhondo kitandani
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment