UMUHIMU WA KUTEGEMEANA KATIKA MAHUSIANO - Utundu kitandani

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, April 15, 2019

UMUHIMU WA KUTEGEMEANA KATIKA MAHUSIANO




Napenda kugusia jambo hili ni muhimu kama mpo pamoja katika mapenzi,si vema ukawa unajiamlia mambo pekee yako,ni muhimu kujua umuhimu wa mpenzi wako,kuwa tayari kumsikiliza na kumsaidia,maana mmoja anapochoka mwingine atamshika mkon na kumtia nguvu,mmoja awapo dhaifu mwingine atamfariji na kumfanya asonge mbele,mmoja ajapo kata tamaa mwingine atamwonyesha ipo nafasi ya kushinda changamoto,kwa kujua hili ni rahisi mapenzi yenu yakawa bora,na mfano MZURI katika jamii maana mpenzi wako akitokwa chozi na wewe utaumia na kujiuliza kwanini my love anaumia,hivyo utakuwa wa kwanza kufuta chozi lake na kumfanya apate furaha na faraja hasa katika yale anayopitia.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Pages