MAPENZI KUBEMBELEZANA. - Utundu kitandani

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, April 15, 2019

MAPENZI KUBEMBELEZANA.




Katika mahusiano kila mtu anataka kuona raha ya mapenzi,usidhani kutenga muda kwa ajili ya mpenzi wako ni jambo baya,no,,,unahitaji kumjali mpenzi wako,,jua changamoto anazopitia,,jua anapenda nini mbembeleze,,mkumbatie,,hii itafanya aone upendo wako,,,,kumbuka kumpa pesa tu na zawadi haitoshi anahitaji kubembelezwa,hayo ndo mahaba yenyewe,,sio unakuwa mkali muda wote,mtu wa hasira na kulalamika,,plz jua mapenzi ya hivyo hayadumu,unahitaji kumbembeleza ili afurahi kwani ufanyapo hivyo,mfano kina dada/mama wanajua hasa akiwa na stress,,hapo akiwa sawa na kusahau shida,,utafurahi mwenyewe.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Pages