SI KILA MTU ANAYEKUJA KWAKO NI WA KWAKO - Utundu kitandani

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, April 15, 2019

SI KILA MTU ANAYEKUJA KWAKO NI WA KWAKO




Nataka nikufumbue macho mpendwa,,umelia,,umehuzunika kuwa kakuacha na mlikuwa na mipango na malengo mazuri,,lakini jua kuwa kuna watu huwa wanakuja wanakaa kwako kama funzo la unakoenda,,usije uliza kwani Mungu alipanga hivyo,,hata wewe jiulize ni mazingira gani yalitumika kuanzisha mahusiano na ulitumia muda gani kuomba kwa ajili yake as mume au mke mtarajiwa,,so kaa ukijua kuna watu wanakuja kukufungua macho na kuwa darasa la tabia ya aina ya watu na kukumbusha kuwa nini ufanye ili umpate mume au mke wa ndoto zako,,hivyo acha kulia na amini umepata nafasi ya kurudi kwa Mungu na kuomba kujenga msingi mpya wa mahusiano kwa kumshilikisha yeye.........na usirudie makosa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Pages