U hali gani la azizi unayeninyima usingizi maana huishi kunijia kwenye zangu njozi, naamini wikiendi hii hutaniletea zako pozi, utanipa hilo lako penzi, nakupende ewe wangu mpenzi!
Tambua wewe ndiye wangu malkia na hakuna mwingine katika hii dunia ninayemfia zaidi yako, binti umeumbika na una kila sifa, hakika kwako nimefika!
najua moyo wako unasita penzi lako kunipa, lakini nataka uelewe fika mimi kwako nimefika,haya si maneno yakusadikika bali ni yauhakika! Nakupenda na daima nitakuenzi!
Msg nzuri nakuandikia kwakuwa nyimbo nzuri siwezi kukuimbia, maneno ninayokuandikia nataka moyoni yakuingie, nakupenda ewe wangu waridi uliyenitoa kwenye ulimwengu wa baridi! Mmmmh mwaah
Hpa nilipo machozi yanidondoka, moyoni ninajuta penzi langu kukupa, kila napokumbuka jinsi ulivyonipa hakika mapenzi ya dhati kunipa, simu kunipigia kila dakika sasa penzi nimekupa uko bize kila dakika!
Wikiendi ndyo imefika watu wajipanga kuburudika, wiki nzima tulikuwa kwenye pilika na sasa muda muafaka umefika mimi nawe kufarijika kwa raha kujipa,usikose nyumbani kufika!
Salamu yako imefika nashukuru kwakunikumbuka, moyoni nimefarijika kupata salamu toka kwako binti uliyeumbika, asante sana kwakunikumbuka!
No comments:
Post a Comment