Penzi la Dance wa Diamond Moses Iyobo na Mwigizaji Aunt Ezekiel kwa sasa inasemekana limeota mbawa, Moses Iyobo ameonekana akitesa na Mrembo anayetoka Kenya anayefahamika kwa jina Merisa, Pichani hapo juu inaonekana wakiwa katika nguo sare sare kitu ambacho walikuwa wanafanya na Aunt Ezekiel kabla hawajaacha.....
Moses Iyobo na Aunt Ezekiel wana mtoto mmoja anayefahamika kama Cookie
No comments:
Post a Comment