WANAWAKE ACHENI KUTUMIA MIILI YENU KAMA DHAMANA YA KUPENDWA. - Utundu kitandani

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, April 11, 2019

WANAWAKE ACHENI KUTUMIA MIILI YENU KAMA DHAMANA YA KUPENDWA.


Habari yako msomaji wangu,natumaini upo salama,Leo nataka pia nigusie swala la kina dada/wanawake kukubali kutumia miili yao kama dhamana ya kupendwa na wanaume,,.sisi wasichana/wanawake tuko hivi  hatujui mwanaume kwa muda huo anawaza nini lakin akishakwambia tukutane kimwil umekutana nae tunahis, uwaga tunajua akitoka apo ndo kafa kaoza hasikii haambiw kwamba ww ndo wake wamaisha hapana nimambo ambayo tunajidanganya kifikra kiukwel na tusipo angalia tutalia kila day coz atujui kuchambua mambo kiupana zaiidi and kwa muda huo pia Mungu kawekwa pending ili uendelee vizuri na mambo mabaya,,.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Pages