JIULIZE MASWALI HAYA KABLA HUJAINGIA KWENYE MAHUSIANO - Utundu kitandani

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, April 9, 2019

JIULIZE MASWALI HAYA KABLA HUJAINGIA KWENYE MAHUSIANO





Habari yako msomaji wangu,natumaini upo salama,leo nataka nizungumzie maswali ambayo unaweza kujiuliza kabla ya kuingia kwenye mahusiano,unashauriwa kuwa kabla hujaingia kwenye mahusiano lazima ujue kwanin unataka mahusiano...je nin kinakupeleka kwa huyo..mtu..je sababu amekusumbua muda mrefu..au huruma...au alikupa vitu..au umevutiwa na mwonekano wake...unahitaji kutulia...ni bora ukawa single kwa muda kuliko kukimbilia kuwa na mtu...maana huwa nasema siku zote... *usipokuwa makini utaomba bora ukutane na simba kuliko mwanaume*

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Pages