WANAWAKE SIMAMIENI MISIMAMO NA KUBADILI MITAZAMO - Utundu kitandani

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, April 9, 2019

WANAWAKE SIMAMIENI MISIMAMO NA KUBADILI MITAZAMO


Kwa mtazamo wangu wa kufikiri nahisi sisi wanawake ndo tunaotakiwa kubadilika na kuwa na msimamo,laiti km wanawake wote tungekuwa na misimamo na kujitambua,tusingesababishiana maumivu , Mwanamke kabla ya kumkubali mwanaume inabidi ujiridhishe kwanza,mtu anaisaliti ndoa yake nawe mwanamke upo tu unafurahia? Unajua kabisa huyu ni mume wa mtu umemng'ang'ania tu! Jamani tuanze kwanza kuoneana huruma sisi Kwa sisi,mwanaume ukimkatalia hawezi kukulazimisha,,, ni tamaa tu tunaziendekeza then akikuacha unakuja lalamika umeachwa,tuamue mamoja,hawa wanaume hawatatusumbua,sisi wenyw ndo chanzo cha matatizo yetu,,.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Pages