MWANAUME:: MWANAMKE ASIPO JAMBA MBELE YAKO...JUA KUNA MENGI ANAKUFCHA - Utundu kitandani

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, April 9, 2019

MWANAUME:: MWANAMKE ASIPO JAMBA MBELE YAKO...JUA KUNA MENGI ANAKUFCHA





Maoni ya Mdau

Wanaume wenzangu kama una mpenzi wako na mpo kwenye mahusiano zaidi ya mwaka lakini hata siku moja hajawahi kujamba mbele yako basi tambua kwamba kuna vitu vingi anakuficha.

Jiulize kama tu kitu kidogo kama hiki anakuficha je kuna mambo mangapi makubwa ambayo anakuficha.Hapa simaanishi kwamba kila mara ndo awe anakujambia ili tu usimuone kwamba ni msiri ila walau hata kwa mwezi mara moja inatosha kwa yeye kukufanyia tukio kama hilo.

Wanawake jitahidini muwe mnawajambia wapenzi wenu walau hata kwa mwezi mara moja.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Pages