Kuna shida hii pia ambayo imekuwa kama mwiba katika
mahusiano/mapenzi....ukijizoesha kutegemea kila kitu utakuwa mtumwa wa mtu kitu ambacho katika mahusiano ni kibaya...hutakiwi kuonyesha udhaifu wako kwa kila kitu...jifunze kupambana...itakusaidia wew mwenyewe....na kukuongezea thamani kwa mwenza wako na jamii kiujumla.....ukiwa tegemezi....kuna asilimia unampa za kukusumbua vinginevyo awe ni yule aliyekusudiwa na Mungu...sasa wengi ni wavivu katika hili kwasababu bado wanatembea na ile imani potofu ya "mwanaume wangu atanigharamia kila kitu".....sijui kama tutafika...ila..jitambue...epuka kuwa tegemezi...piga kazi,.
No comments:
Post a Comment