MAHUSIANO MIAKA MITATU BILA KUTAMBULISHWA NI TATIZO - Utundu kitandani

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, April 16, 2019

MAHUSIANO MIAKA MITATU BILA KUTAMBULISHWA NI TATIZO




Sikia ukiona kila unapomwambia mpenzi wako swala la kutambulishana na mmekaa kwenye mahusiano miaka na miaka hataki na wakati huo huo anataka mfanye vitu kwa siri,,,na wewe unampenda jua kuna jambo linafichwa hapo,,,maana mwenye nia ya kuoa lazima hata rafiki yake wa karibu amwambie,,lakini wewe mtu yupo lakini anataka mambo yafanyike kwa siri,hujui hata rafiki yake,ndugu yake......mh....jiulize vizuri.......asikupotezee muda umri ukakuacha......so ni vizuri ukae nae akupe sababu za kueleweka,kama hazina mashiko na hazieleweki.....mwambie tu ukweli,,,,msipotezeane muda.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Pages