Nataka dada/wanawake wenzangu mjue kuwatofautisha hawa watu,,,,wengi mmedanganywa pale anapokuja kukutongoza anakupenda,,na umekuwa ukidhani akikwambia nataka kuzaa na wewe ndo unaamini kuwa mahaba yote yapo,,na kwakuwa umedhani kwa kusema hivyo hawezi kukuacha,,No kumbuka neno kuzaa na wewe ukilisikia usikubali haraka maana tofauti na mwanaume anayetaka kuishi na wewe ambaye atakutengenezea mazingira ya wewe kujisimamia na kuwa na uwezo wa kufanya mambo yako...ili akija kukuoa uwe na mchango kwa familia,,,na huwa yupo tayari kuitwa baba kwa kukupa ushirikiano,,,,ila wanaume wengi HAWATAKI KUOA WANATAKA KUZALISHA....sasa jua tofauti,,,yeye hataki majukumu anataka akupe wewe NA akimaliza kumwaga mbegu zake aende kujisifu na anajiita baba mtalajiwa.
Tuesday, April 16, 2019
MJUE ANAYETAKA KUZAA NA WEWE NA ANAYETAKA KUISHI NA WEWE
Nataka dada/wanawake wenzangu mjue kuwatofautisha hawa watu,,,,wengi mmedanganywa pale anapokuja kukutongoza anakupenda,,na umekuwa ukidhani akikwambia nataka kuzaa na wewe ndo unaamini kuwa mahaba yote yapo,,na kwakuwa umedhani kwa kusema hivyo hawezi kukuacha,,No kumbuka neno kuzaa na wewe ukilisikia usikubali haraka maana tofauti na mwanaume anayetaka kuishi na wewe ambaye atakutengenezea mazingira ya wewe kujisimamia na kuwa na uwezo wa kufanya mambo yako...ili akija kukuoa uwe na mchango kwa familia,,,na huwa yupo tayari kuitwa baba kwa kukupa ushirikiano,,,,ila wanaume wengi HAWATAKI KUOA WANATAKA KUZALISHA....sasa jua tofauti,,,yeye hataki majukumu anataka akupe wewe NA akimaliza kumwaga mbegu zake aende kujisifu na anajiita baba mtalajiwa.
Tags
# Uhondo kitandani
Share This
About Utundu Kitandani
Uhondo kitandani
Labels:
Uhondo kitandani
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment