Ushauri: nataka kuoa binti niliemzidi miaka 8 - Utundu kitandani

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, February 9, 2019

Ushauri: nataka kuoa binti niliemzidi miaka 8



Kuna uamuzi nimeufanya ila muafaka wake utafikia ntapopata ushauri wa wanajamiiwazoefu wa maisha ikiwemo members wa humu ndani.

Mimi ni kijana mwenye miaka 26, naona ni wakati muafaka wa kufunga pingu za maisha na binti ili niwe na familia yangu, Nimepata binti ana miaka 18 (tumepishana miaka 8) elimu yake ni form 4 alifaulu ila kaamua kuwa mwalimu wa chekechea shule ya english medium na analipwa vizuri .

Sifa na tabia zake zilizonivutia ni kujiheshimu, kuwa na maadili, nilimtoa bik**, ni mchapa kazi, anajua kupika, anajua English vizuri, ni mzuri kwa sura na shape, ananipenda.

Wakuu wenye phd zenu za experience ya maisha ya ndoa, Je Uamuzi naotaka kuufanya ni sahihi?

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Pages