Nilikuwa naongea na jamaa yangu mmoja ambae ana kama miezi miwili ameowaaa alikuwa akiwaasa vijana flani hivi wanapopata mabinti wajitahidi sana kabla ya ndoa basi watest mitambo kwanza.....
Nia ya mazumuni ya kuwaambia vijana ni kwasababu tangu ameowaa kitu alichokutana nacho ameshidwa kuamini kwa mwanamke wake hiyo hali imemfanya hadi anashidwa kufurahia tendo la ndoa lakini pia akawaeleza wanawake wana siri kubwaa sana huwa wanatufichaa, lakini pia wanawake wanajua madhaifu yao
Ni hayo tuu
No comments:
Post a Comment