Ongezeko la Mashoga wa Kiume Bongo..Tatizo ni Nini? - Utundu kitandani

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, February 6, 2019

Ongezeko la Mashoga wa Kiume Bongo..Tatizo ni Nini?


Nimetembea baa nyingi kinondoni na sinza siku za karibuni, nimeshangazwa na ongezeko kubwa sana la mashoga tena siku hizi hawajifichi kama zamani!! Juzi nilikuwa baa moja pale kinondoni opposite na mango garden nikawakuta wengi sana wanagonga kilaji na kujichekesha kama madem. Ikabidi nimuulize bar maid akaniambia wanafanya sherehe ya rafk yao!!
Hivi tatizo ni nini? Maana ni hatari sana kwa jamii yetu na naona jamii inaanza kuwakubali taratibu

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Pages