Ukitaka Usimegewe hakikisha unampa Mpenzi wako Mahaba-Niue Niteketeze Kabisa yenye Megawati za kumtosha kuendesha Mitambo ya Furaha kwenye Moyo wake...Ukishindwa kumpatia lazima atakutafutia Jenereta la dharura au Solar Panel just incase Umeme-Penzi wako hautabiriki.Hakuna Mtu anayependa kukaa gizani kusubiria Umeme usiotabirika wa TANESCO wakati Majenereta yanauzwa.
Ukitafutiwa Jenereta la Dharura kwenye Mapenzi usilalamike,Jilaumu mwenyewe kwa kutotabirika kwa Umeme-Penzi wako...Watu wanasikia Joto wameamua kujizatiti ili ukikatika tu kitu kinawaka AUTOMATIC.
Shkamoo wote mliowekeza mitambo ya Symbion na Aggreko kwa sababu Wapenzi wenu wapo-wapo tu hawajitambui wanatumia Mita au Unit za LUKU
WANAUME:Msipoangalia mtajikuta LUKU haina kazi mtu yuko under Generator masaa 24 kuepuka kadhia,Utajibebaje!
No comments:
Post a Comment