Nimefanya Mapenzi na Mwanaume Ambaye si Baba wa Mtoto, Je, Ntakuwa Nimemuharibu Mtoto ? - Utundu kitandani

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, February 27, 2019

Nimefanya Mapenzi na Mwanaume Ambaye si Baba wa Mtoto, Je, Ntakuwa Nimemuharibu Mtoto ?



Mimi nina mtoto wa miezi 10 sasa, niliachana na aliyenipa ujauzito nikiwa na mimba ya miezi 2 mwaka jana mwezi wa 2, na tangu mwaka jana nilikua sijakutana kimwili na mwanaume yoyote yaani nimekaa mwaka 1 na miez 5.

Miezi mitatu iliyopita nilikutana na kaka mmoja akawa anataka kunioa, but juzi nikashiriki nae tendo kibinadamu, na mimi na hisia kweli.Nilisex nae mara 1 tu na nilienda kuoga kabla sijamnyonyesha mtoto.

Naomba kuuliza inaweza kumdhuru mtoto?

Je, nifanyeje?

Msinielewe vibaya ndugu yangu baba mtoto yuko mbali na ana mwanamke mwingine .

Hana muda na mimi kabisa, mimi ni binadamu hisia zilinizidi tu nikawa nimefanya hivyo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Pages