Simu ya mume wangu imejaa majina ya kike tu, ukimuuliza anasema ni classmate zake - Utundu kitandani

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, February 27, 2019

Simu ya mume wangu imejaa majina ya kike tu, ukimuuliza anasema ni classmate zake


Kutoka kwa Mdau

Ushauri jamani simu ya mume wangu imejaa majina ya kike tu kila ukimuliza anasema ni classmate wake cha kushangaza anaasave jina kamili na anamalizia clasmate wenye uelewa tafadhali tusaidiane.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Pages