WANAUME TU;MPE NAFASI MKEO - Utundu kitandani

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, August 21, 2019

WANAUME TU;MPE NAFASI MKEO


Unaweza ukawa ni mwanaume mwenyw elimu kubwa kabisa Lakini ukawa huna uwezo wa kufafanua mambo au ukawa huna uwezo wa kuchambua fikra zako na wakati huo huo mkeo akawa ana uwezo mkubwa sana wa kushauri na uwezo mkubwa sana wa kuchambua mambo mbalimbali,,,,,lakini kutokana na hulka iliyojengeka kuwa mwanamke hawezi utabaki tu unaumiza kichwa kila siku kumbe mtu wa kukusaidie unae hapo hapo nyumbani kwako,,,So kila binadamu ana nafasi yake kupitia akili yake,,,,mpe nafasi mkeo anaweza kufanya mambo makubwa katika maisha yako.



No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Pages