Isifikie hatua mapenzi yakakulewesha hadi akili ikashindwa kufanya kazi,,,ukafunga macho pia kujifanya huoni mabaya unayofanyiwa na mwenza wako,,,,,,,huo upendo wa kufanyiwa mabaya kila siku halafu unashindwa kufanya maamuzi sahihi,,,utakuja kugharimu furaha yako maishani,,,Amua kufungua milango yako ya fahamu na ukatae hayo manyanyaso kwa gharama yoyote.
Wednesday, August 21, 2019
EPUKA MANYANYASO KATIKA MAHUSIANO KWA GHARAMA YOYOTE
Tags
# Uhondo kitandani
Share This
About Utundu Kitandani
Uhondo kitandani
Labels:
Uhondo kitandani
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment