MSICHANA; Baby Leo nakuja Kulala geto kwako.Nimekubali uwe namimi kwan hata mimi nilikuwa nakupenda sana
MWANAUME; Ni sawa umenikubali Umefanya vyema ,ila Kulala na wewe hadi tufunge ndoa...........
Wanaume wa hivi bado wapo kweli au naota???
About Utundu Kitandani
No comments:
Post a Comment