KAMA MPENZI WAKO AMELALA NAWE UKO MACHO MTUMIE MESEJI HII - Utundu kitandani

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, August 14, 2019

KAMA MPENZI WAKO AMELALA NAWE UKO MACHO MTUMIE MESEJI HII

Nikiwa na wewe ubavuni mwangu na penzi lako likizunguka moyo wangu, naweza kufanikiwa na chochote. Unanipa nguvu na nishati ya kukabiliana na chochote. Nakupenda kwa moyo na roho yangu. USIKU MWEMA KIPENZI



No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Pages