SABABU ZIPI ZINAWAFANYA WANAUME KUFURAHIA PENZI ZAIDI KULIKO WANAWAKE - Utundu kitandani

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, July 7, 2019

SABABU ZIPI ZINAWAFANYA WANAUME KUFURAHIA PENZI ZAIDI KULIKO WANAWAKE










Kumekuwa na dhana kuwa wanaume ndio wanaofurahia ngono zaidi ikilinganishwa na wanawake ambao sio rahisi kufikia upeo wa raha ya kujamiiana. Aidha imebainishwa kuwa wanaume chini ya umri wa miaka 60 hufikiria kuhusu ngono mara isiyopungua moja kwa siku.
Utafiti uliofanywa na chuo kikuu cha Florida State University ulibainisha kuwa wanaume wanafurahia ngono kuliko wanawake. Hii ni kwa sababu ya maumbile kuwa wanaume hawakumbwi na mawazo mengi wanaposhiriki ngono.
Kwa upande wao, wanawake hutafuta wanaume wanaoingiliana nao kihisia na mtu atakayejitwika jukumu la kuwalea watoto. Aidha, utafiti mwingine ulionyesha kuwa wanawake wengi husononeka wanaposhindwa kuwatosheleza waume wao kuliko wanaume wanaposhindwa kuwarithisha wanawake wao.




No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Pages