MANENO MATAMU YA KUMWAMBIA MWANAUME NA KUUTEKA MOYO WAKE - Utundu kitandani

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, July 7, 2019

MANENO MATAMU YA KUMWAMBIA MWANAUME NA KUUTEKA MOYO WAKE









Kunong’onezana maneno yalio na mvuto au kuandikiana barua  kutuma kwa umpendae, yamepitwa na wakati kwa kizazi hiki, mwanzo vitu hivyo vilikuwa vinaleta mapenzi na hisia za ndani kwa kila mtu.
Siku za leo, tuna njia nyingine , bila shaka  unaweza kuwa bado unatuma  barua na kunong’ona kwa mwanaume  kwa maneno matamu  kwenye sikio lake. Hata hivyo kwa sasa  unaweza kutuma ujumbe  kwa kumemail au kwa ujumbe wa kawaida.
Hata hivyo , tangu imekuwa na urahisi wa kuwasiliana, kwa nini usijifunze maneno matamu  na ujaribu  kumtoa katika hali ya huzuni na kumpeleka katika ulimwengu mwingine kwa  kuondoa migomo.?
Kwa njia hio,  kama unapenda kujifunza  jinsi ya kuongea hayo maneno na kuugeuza moyo wake, kujenga muungiliano na utulivu na kutunza mawazo yake akiwa kazini  akiwa anakuwazia wewe, kwa hio unahitaji kuangalia  mbinu zaidi  kutoka kwenye makala hii.
Lakini kama maongezi matamu ni zaidi ya mtindo wako,- angalia mtiririko huu wa mambo matamu  ya kusema kwa boyfriend, kwa vyote kwa upya na mahusiano ya muda.
INAHUSU MAHUSIANO YA MUDA MREFU.
1.Natamani ungekuwepo muda huu  sasa hivi.
Sentensi  hii inamfanya  mume wako aone ni jinsi gani umemmisi. Zaidi ya yote, kila mmoja anahitaji kuona anahitajika kwa mwenzake.ni neno zuri, hata hivyo,  unaweza kuwa umesema au umetuma ujumbe kwake mara nyingi, kwa kuwa usionekane wewe ni mwepesi, ujumbe huu unahitajika kwa wale ambao wamekuwa kwenye mahusiano ya muda mrefu. Majukumu ya mahusiano.
2.Walisema mapenzi haya hutokea mara moja, lakini sikuamini mpaka muda niliposikia nimekupenda sana.
Ujumbe huu unaonyesha hisia za ndani kwamba umemweka moyoni mwako mumewe.
3.Ninapokuangalia machoni naona njia ya ulimwengu ninaotaka niwepo.
Ujumbe huu mfupi ni wa ndani sana,hata hivyo unahitaji kuutumia  pengine boyfriend wako  angekushukuru, kwa mfano  inaweza kuwa ni ujumbe mahususi kabisa hasa pale mnapokuwa  mmeanzana  tu. lakini kama mko kwenye mahusiano ya muda mrefu ni sawia kabisa. Kwa msaada zaidi  jinsi ya kumridhisha mume kitandani , fuatilia makala zangu.
4.Kama nimepata raha maisha yangu, kitu kimoja tu ningetaka kukibadilisha  kuwa ningekuwa nimekutana nawe tangu zamani.
Huu ujumbe mtamu,  kwa mume wako kwa kuwasiliana ni ujumbe wa hisia za ndani sana, kwamba unajilaumu kuwa hukuweza kukutana nae mapema.
5.Mara zote unajua kunifanya nitabasamu, hata wakati nimehuzunika.
Mawasiliano mazuri ni  urafiki wa kimapenzi, wa fikra zinazifikirika za maisha yote ya hali ya chini na ya juu, kwa hio kama wewe unamtegemea mume wako tu kukufanya uwe na furaha wakati unapopatwa na shida, na wewe fanya vilevile kwake, hii inaonyesha kujali, mahusiano ya upendo, mawasiliano kama haya humfanya mwanamume afahamu kuwa unafanya kitu cha uhakika  kwamba unamfanya ajisikie vyema.
6.Hakuna mwanaume duniani anaweza kunielewa vizuri kama unavyonielewa  wewe. Nahisi kukukumbatia kila wakati ninapoomgea na wewe.
Mahusiano mazuri huhitaji uaminifu na ukweli, na uwazi wa mawasiliano, kwa hio kama unaweza kusema haya  kwake utamfanya ajisikie kuthaminiwa   na inshara ya mahusiano bora.
7.Najisikia salama na amani ninapokuwa  karibu yako.
Mwanaume anapenda kusikia ujumbe huu, kama mwanaumme hupenda kujulikana kuwa wao ni walinzi  wa familia. Kwa kufahamu kwamba unalitammbua na kuliona hilo, na hii inakuja kama uliwahi kuumizwa hapo mwanzo , na sasa unapata ulinzi wa kutosha ,  kama hii ni kweli basi  utamfanya ajisikie kuwa mshindi.
8.Nafurahia urafiki wako zaidi kuliko mtu yeyote humu duniani.
Wakati wanandoa wanapoingia kwenye mahusiano yenyewe,  huanza na  kombania ya urafiki kwanza , kwa hio huu ujumbe , au maneno haya  ni hatua kubwa sana katika mahusiano.
Utapata mbinu zaidi kwenye  makala nyingine jinsi ya kumtimizia mume mahitaji yake.
9.Siwezi kufikiria maisha yangu bila wewe.
Pindi maisha ya watu wawili yanapounganishwa, inakuwa ngumu kwa kila mmoja  kufikiri  maisha yao bila ya nusu yake hii ni hatua ya kweli katika maisha ya mahusiano, kwa hio kuwasiliana kwa namna hii utamfanya mume wako ajisikie kupendwa.
10.Marafiki zangu wananionea gere kuwa na wewe.
Itaonyesha maumivu mwanaume kusikia hivyo, kwamba kuna watu wanakuonea wivu  kuwa kwenye mahusiano na wewe, basi haya ni maneno mazuri ,  ujumbe mtamu, na utakuwa umefikisha  mahali pake.
11.Sifahamu umeniwekaje , lakini nina furahi  umefanya hivyo.
Kusema kwa namna hii , na kwa kuwa unafahamu kuwa ni ilikuwa ni vigumu kukupata  kwa muda mrefu alihangaika juu yako. Na hii ni meseji nzuri sana  ya kumtumia  na kumkumbusha jinsi gani aliweza kukupata.
12.Ni moyo wangu pekee unaweza kukuambia jinsi ninavyokupenda, maneno yangu hayatoshi.
Hii ni kweli , katika mahusiano  hakuna njia ya  maneno pekee yanayoonyesha upendo kwa mume au mke, bali ni vitendo vya mtu na moyo wa mtu. Kwa hio jinsi unavyojisikia kwa mumeo  , atajiona ni mtu mkubwa sana.
INAHUSU HASA WALE WENYE MAHUSIANO MAPYA.
13.Wewe ni mpole unapokuwa na mimi.
Kusema haya maneno matamu kwa boyfriend wako  unasevu makusudi mawili. La kwanza kabisa  linamwambia mwanaume jinsi gani unamkubali, na uchivalrous wake mnapokuwa wote mnatembea mtaani. Na pili  linamwambia  kuwa unahitaji aendelee na huo upole wake na uchivalrous wake
14.Wewe ni mwanaume mwenye akili, Unafahamu vitu vingi sana.
Haiwezi kuumiza mshituko  wa nafsi ya mtu wako kidogo. Hata hivyo kila mtu anahitaji kuheshimiwa na kupendwa,  kwa hio ,  hili nalo ni tamu unaweza kulitumia  hata kama mahusiano yenu ni bado mapya sana.
15.Nilikuwa na siku mbaya , lakini  nilipokufikiria  mara  ulimwengu wangu ukawa tofauti.
Hii ni sentesi rahisi sana kama ni sentensi ya kweli kutoka kwako,  kwa hio ni kitu  ambacho boyfriend wako atapenda kusikia kutoka kwako na ataikubali.
16.Sijawahi kukutana na mwanaume  kabambe na mwenye maamui  kuliko wewe..
Na hii ni nyingine yenye kugusa kumoyo wa mwanaume, na maneno matamu , hilo ni wazo la mahusiano mapya.
17.Wewe ni zaidi ya mwanaume sijawahi kukutana nae.
Na huu ni ujumbe rahisi sana ,  unawakilisha jinsi  gani unamkubali mtoto wa kiume huyo, zaidi ya wanaume wengi,  ingwa sio wote hupenda kuwa kama wewe  na kuwa na ubinadamu . kwa hio haya maneno ni matamu  na ya uhakika  kumfanya mtu wako kujisikia ni wa pekee.
18.I can’t wait to see you  tena.
Hii  ni sentensi rahisi kusema,  bado ni ujumbe mtamu wa kuwasilisha  jinsi gani unamkubali  mtu wako huyo, na kwamba unaangalia mbele kwa ajili ya kuwa pamoja nae kwa kipindi chote  maisha na huyo mtu wako. Katika mahusiano mapya , hii pia inaonyesha hamu ya kuendelea kukuza  mahusiano.




No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Pages