WANAWAKE; DALILI ZA MME WAKO KUCHEPUKA NA HOUSEGIRL - Utundu kitandani

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, June 11, 2019

WANAWAKE; DALILI ZA MME WAKO KUCHEPUKA NA HOUSEGIRL


1.Anaweza kukufokea hata mbele ya huyo msichana. 
2.Anaonyesha upendeleo kwake tofauti na kwa wengine. 
3.Atakuhimiza umsaidie ,,,,,umpende na umzawadie tofauti na kujali kwa kawaida. 
4.anaweza kukuhimiza mkampime hiv na magonjwa mengine kwa kisingizio eti anaweza kuwaathiri watoto. 
5.utaona kiu na vijitiada vya kutaka kuwa karibu nae. 
6.anataka muwepo nae kila mnapotaka kutoka au kusafiri. 
7.anakuwa na uhuru wa yeye kubaki nyumbani au kurudi mida ya kazi wewe ukiwa haupo. 
8.kubadilika kwa ghafla kwa tabia ya binti mfano dharau 
Sisemi kwamba mpaka uone dalili zote kwa mtu huyo huyo,,la hasha!wengine unaweza kuona dalili moja tu na wakawa tayari kwenye mahusiano,,ukiona hizi zinazidi zinazidi ujue wazi Mahusiano au ndoa yako ipo hatarini.



No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Pages