UNAHITAJI MTU SAHIHI KWA WAKATI SAHIHI - Utundu kitandani

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, June 11, 2019

UNAHITAJI MTU SAHIHI KWA WAKATI SAHIHI


Kama Mungu kamleta kwasababu yako,,basi utaona akisababisha furaha yako kwa vitendo,,,,,wale ambao mnasema mnapendwa halafu hamna furaha kwenye mahusiano yenu,,,,, yabidi ujitathimini kabla ya kwenda hatua kubwa zaidi,,,,hebu jiulize swali dogo tu,maana ya upendo au mapenzi ni nini?je ni furaha au maumivu?jibu nadhani unalo na na ni wakati wa kuwa sehemu sahihi ukiwa na mtu sahihi.



No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Pages