Habari zenu,,nimeona niwaletee mada hii nina imani mtajifunza hasa kwa wale wasiofahamu,,ukikaa muda mrefu bila kufanya tendo la ndoa,,,MADHARA yake ni kama haya,,
**hasira za mara kwa mara katika mambo madogo.
**hupendelea kuangalia picha za uchi
**kupendelea story za mapenzi
**kusahausahau
**kutokwa damu nyingi wakati wa hedhi(kwa wanawake)
**kupenda kurukiarukia mambo ya watu wengine(tabia ya kufuatilia mambo yasiyokuhusu)
**kuumwa na kichwa
**kukakamaa mgongo(kwa wanaume)
**kuingiliwa kirahisi na jini mahaba
**kupoteza umakini katika kazi(efficiency)
**siku ukikutana kimwili na mwenye virusi bila kinga ni rahisi kupata maambukizi
**waweza kudevelop tabia mpya ambayo hukuwa nayo ili iwe mbadala ya kama ulevi.
No comments:
Post a Comment