SINGLE MOTHER ANANIPENDA ILA NAOGOPA - Utundu kitandani

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, May 12, 2019

SINGLE MOTHER ANANIPENDA ILA NAOGOPA



Habari wanajamii
Moja kwa moja kwenye mada;
Tangu mwaka 2011 kuna binti nilikuwa nimemzimia sana, ila nilikuwa nashindwa kimwambia ukweli(domo zege) hasa ukizingatia huyu binti kadiri miaka ilivyokuwa inakwenda akaanza kunizoea na hadi sasa ameshanizoea kabisa. Tunachat sana kwenye whatsapp/sms lakini inaonekana ana hamu na mimi ila mi naogopa, kwani kwa kipindi tangu tulipozoeana 2011 nilishindwa kumwambia ukweli na baadae akapata lijamaa likampa mimba na sasa ana mtoto mkubwa tu. Inaonekana binti anani-mind sana ila mi nashindwa pa kuanzia.
Naomba ushauri wenu

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Pages