NAJIULIZA WALIOOA WALIPATAJE WAKE - Utundu kitandani

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, May 12, 2019

NAJIULIZA WALIOOA WALIPATAJE WAKE



Poleni sana kwa majukumu, Hoja yangu ni kwamba imefika wakati nataka kuoa sasa, ila sasa imebidi niulize kwa mliooa. Mmepataje wake wakuoa? Maana toka nipate wazo la kuoa nimekua nazurula sana maeneo mbalimbali nikiamini nitakutana na anayenifaa, hii hali imenifanya hata nikiwa nyumba ya ibada nisiwe makini na ibada bali nakagua mke, hata nikiwa kwenye daladala yaani akipanda Dada nakuwa makini sana nikiamini labda ndo huyu..!
MSAADA WENU TAFADHARI...

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Pages