:mad::mad::mad::mad::mad: Dada muuguzi mwandamizi wa hospitali kubwa hapa Mwanza,
ali differ na mumewe mwaka jana 2018 mwezi Aprili. Kama mzaha mumewe akamwambia, nahama hapa nyumbani nakwenda kutafuta faraja kwa mwanamke mwingine.
Dada nesi akajua ni utani tu wa wapendanao. Kweli yule kaka akahamia kwa mchepuko wake (hakimu). Ameshakwenda huko kwao kujitambulisha ametoa mahari na wamepewa ridhaa ya kuishi pamoja (kwa ndoa ya kimila).
Huyo dada (hakimu) na yeye aliachana na mumewe. Kwa kuwa "wana ndoa" hao wote tayari walikuwa wana ndoa za kanisani (RC) hawawezi tena kufunga ndoa zaidi ya hizo baraka za wazee wao au kufunga ndoa ya serikalini.
Dada nesi ka mmisi mumewe. Anavizia kumpigia simu waongee nyakati ambazo yule kaka hayuko na mkewe mpya!!!
Nimemsaidia kusikitika, YAANI MUMEWE AMEKUWA MCHEPUKO!!!
No comments:
Post a Comment