UKWELI KUHUSU WANAWAKE WENYE UUME!!! - Utundu kitandani

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, April 5, 2019

UKWELI KUHUSU WANAWAKE WENYE UUME!!!





Watu wengi huwa wanachanganya kati ya Shemales na Hermoprhodites. Here comes the difference. Shemale ni mwanaume aliye fanyiwa operesheni na kuwekewa makalio ya kike, sura na sauti ya kike lakini uume wake unabaki kama ulivyo. Mwanaume huyu anapofanyiwa operesheni hii huonekana kama mwanamke kabisa lakini hubaki kuwa na uume wake.

Akishakuwa shemale anaweza kujamiiana na wanawake /ama wanaume kwa namna yoyote ile. Wengi wa watu hawa hufanya hivi ili wapate nafasi za kufanya kazi kwenye kampuni kubwa za Ponography ambazo inatajwa kuwa watu wa dizaini hii wana soko kubwa sana.

Wengine hufanya hivyo ili wapate nafasi ya kufanya kazi kwenye sex tourism industry na kwenye prostitution industry, e.g Thailand. Asilimia kubwa ya watu hawa wanapatikana katika nchi za Thailand, Brazil na US. Barani Afrika, nchi ya Namibia ndo inayo tajwa kuwa na idadi kubwa ya wanaume wanao jibadilisha na kuwa mashemales ikifuatiwa na South Afrika..

HERMOPHRODITES ama HUNTHA au KHUNTHA ni mwanamke aliye zaliwa akiwa na jinsia mbili. Kati yao wapo ambao jinsia zote zaweza kuwa zinafanya kazi na wapo wengine ambao jinsia moja huwa na nguvu kuliko nyenzake. Lady Gaga na CIARA ni miongoni mwa watu maarufu walio thibitishwa kuzaliwa katika hali hii. Wazazi wa CIARA walimfanyia operesheni ya kuondoa kiungo cha kiume alipokuwa na miaka 11 , Lady Gaga yeye bado yupo katika hali yake hiyo hiyo.

Uthibitisho wa PICHA upo, ila kutokana na maadili Uhondo hatutopost ila unaweza kugoogle kufahamu kwa undani na kwa ushahidi zaidi.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Pages