HUU NDIO USHAURI WANGU KWAKO
“UZURI WA MWANAMKE UNAWEZA UKAMPELEKEA MWANAUME AKATHUBUTU KUMUOA, LAKINI TABIA YAKE NDIO ITAKAYO MUAMURU ADUMU KWA MUDA GANI NA HUYU MWANAMKE KATIKA NDOA”.
Kuna Mambo Mengine Pesa Haiwezi Kununua Vitu Kama Heshima, Busara Na Upendo
NDUGU YANGU, “KUWA MTAMU KWENYE TENDO LA NGONO INAWEZA IKAMFANYA MWANAMUME ALALE NA WEWE USIKU KUCHA, LAKINI ASUBUHI AKAONDOKA ZAKE, LAKINI KUWA MTAMU KWENYE TENDO LA TABIA, KUNAWEZA KUMFANYA MWANAMUME AKUOE NA ADUMU NA WEWE MPAKA KUFA
No comments:
Post a Comment