BIBI WEE!MUME HANUNIWI - Utundu kitandani

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, April 9, 2019

BIBI WEE!MUME HANUNIWI


kwanza unaanzaje kumnunia mumeo,mume akikukera kuwa na subira japo inauma wewe potezea maisha yaendelee,,mwanamke tulia umjibu mumeo kwa vitendo,,mume akirudi toka kazini mpokee kwa bashasha kama hajakukera vile,mfanyie mambo mazuri anayopaswa kufanyiwa,,hasira zako kammalizie kitandani,,mwanamke mwema humaliza hasira zake kwa kumpa mwanaume wake mapenzi motomoto kitandani,,bibi wee maliza hasira zako kwa kumkatia viuno vizuri huku ukimchombeza na vilio vya mahaba,,bibi wee ukiwa mtu wa kununa nuna mume atakuchoka haraka,,ukiwa mtu wa kusamehe haraka basi hata mume wako atazidi kukupenda sana kwa kuwa ataona mkewe una subira,,wengine mnanuna mpaka kitandani mnalala mzungu wa nne,,bibi wee nuna lakini kitumbua utoe,,mume hanuniwi mpaka kitandani,,ukimnunia mume mpaka kitandani watakusaidia malezi wajanja wa mjini,,jua mume atakuvumilia yote lakini sio kumnyima kitumbua sawa bi dada,,.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Pages