Mimi nina 'kibamia' na kitu kinachonifanya niumie zaidi ni pale tena ninapokuwa kwenye 6*6 bado nawahi 'kumwaga', haijalish ni bao la 2 au la tatu.
Kiukweli wasichana niliowahi kutoka nao wamenikimbia kutokana na tatizo hili la kibamia na kuwahi kumwaga. Nilikuwa naomba msaada wa kimawazo ndugu zangu kiukweli muda mwingne natamani hata nijiue maana nashindwa kudumu na wapenzi wangu..
No comments:
Post a Comment