MKASA:: NILIMTEGA MUME WA DADA HADI AKAZAMA PENZINI - Utundu kitandani

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, April 15, 2019

MKASA:: NILIMTEGA MUME WA DADA HADI AKAZAMA PENZINI





Hi Admin.
Naitwa Tayana mbulula nipo Mbezi Dar es salaam, naombeni ushauri wenu fans wa page hii
kuna mume wa dadangu nampenda sana kwani ana sex body na ni handsome boy sana,

huyu shem wangu anaishi Lusaka na dadangu, mwezi mmoja uliopita nilienda kumtembelea dada na nikaanza kujitongozesha kwa shem na ilifikia hatua nadondosha taulo mbele yake ili kumtega,

kuna kipindi dada alisafiri na nikautumia muda huo kumshawishi tufanye mapenzi akakubali na tukawa tunafanya mapenzi mpaka mara 4 kwa siku,

sasa nimerudi home na siku zangu sizioni nimepima nina mimba ya shemej yangu, nimemwambia shem kakubali na kanisifia mi mtam kushinda dadangu,

sasa anataka nimwachishe na dada anioe mimi, nami nampenda NISHAURINI NITUMIE NJIA GANI WAACHANE HARAKA NAMI NIWEZE KUOLEWA NA SHEMEJI.??


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Pages