Habari mpenzi msomaji wangu,,Najua wengi has a wanaume wanapenda kuonyesha ubabe kwa wapenzi wao,,nataka ujue kuwa hakuna mwanamke anayependa kukalipiwa na kugombezwa mara kwa mara,.mwanamke kama ataona una hii tabia kama ni Mwanamke mwenye uelewa atakupuuzia na kukudharau,,jitahidi kujua mahitaji ya mpenzi wako,,maisha ya ubabe ni ya kizamani,,jua kucheza na hisia za mpenzi wako,,Moyo wake unahitaji dawa ya maneno mazuri na hata kama kakosea jitahidi kuomba hekima ya Mungu,,ujue namna ya kumsaidia,jifunze kutafuta furaha na siyo migogoro,,
Monday, April 15, 2019
MAPENZI HAYAHITAJI UBABE!

Tags
# Uhondo kitandani
Share This
About Utundu Kitandani
Uhondo kitandani
Labels:
Uhondo kitandani
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment