MANENO YA WATU YASIHARIBU MAHUSIANO YENU - Utundu kitandani

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, April 5, 2019

MANENO YA WATU YASIHARIBU MAHUSIANO YENU


Habari yako msomaji wangu,leo nataka nikukumbushe kuwa katika MAPENZI usiyape kipaumbele maneno ya watu na ukitaka kuharibu uhusiano wenu yape kipaumbele maneno ya nje,katika ndoa mambo ya ndani hayatakiwi kutoka nje,madhaifu ya mmeo/mkeo wew ndo wayajua ,hao majirani hayawahusu na haisaidii na ukithubutu kutoa madhaifu ya mmeo/mkeo kwa watu wa njee,unaruhusu nafasi ya mmoja wenu kupunguza upendo na ndo mwanzo wa kupotea kwa uaminifu,Jifunze kujizuia,epuka kuongea ongea,mambo ya ndani ni siri yenu,in bora mtafute suluhu wenyewe kuliko kutangaza kwa kila mtu,haisaidii.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Pages