kijana nataka ufahamu kuwa ndoa si sehemu ya majaribio....usione watu wanaoa..ukajua ni sawa na mtu kwenda gengeni kuchukua bidhaa.......,ndoa ina maandalizi,,,.mke anahitaji matunzo,,,tabia ya kuoa then unaishi katika mkopo,si tabia njema..,jifunze na tamani kuwa na maisha yenye utukufu,,,.jitume...,jipange...,then oa..,utafurahia sana maisha na mke wako,,,,.
Monday, April 15, 2019
KIJANA USIOE KAMA HUJAJIPANGA
kijana nataka ufahamu kuwa ndoa si sehemu ya majaribio....usione watu wanaoa..ukajua ni sawa na mtu kwenda gengeni kuchukua bidhaa.......,ndoa ina maandalizi,,,.mke anahitaji matunzo,,,tabia ya kuoa then unaishi katika mkopo,si tabia njema..,jifunze na tamani kuwa na maisha yenye utukufu,,,.jitume...,jipange...,then oa..,utafurahia sana maisha na mke wako,,,,.
Tags
# Uhondo kitandani
Share This
About Utundu Kitandani
Uhondo kitandani
Labels:
Uhondo kitandani
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment