EPUKA MWANAMKE ANAYEDHANI SURA NDO KIGEZO CHA KUOLEWA. - Utundu kitandani

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, April 11, 2019

EPUKA MWANAMKE ANAYEDHANI SURA NDO KIGEZO CHA KUOLEWA.











pamoja na kuonekana kwa changanyikeni katika mahusiano,lakini kumekuwa na mtazamo hasi ambao hauna ushawishi,,mwanamke ni vizuri kuwa mrembo,lakini usikae ukajijengea akilini kuwa sura ndo itakufanya upate mume sahihi,au ukapata kiburi kuwa wakati wowote unaweza kuolewa,,no nataka nikusaidie jifunze hili,,uzuri wa sura lazima uendane na uzuri wa ufahamu wako,,sura haina uwezo wa kutatua changamoto bali ufahamu bora unaweza kutatua changamoto,,ukijivunia sura utawavutia wengi maana kizuri kinavutia ila kwa kukosa ufahamu unaweza shindwa kujua uthamani wako mwisho uwe mtu wa majaribio na kama jamvi la mlangoni kila mtu atafutia miguu kabla ya kuingia ndani..,ni vizuri ujifahamu na ujitunze,,kuwa smart.,,sura nzuri na urembo Wako visikufanye upate sababu ya unyenyekevu kwa MUNGU ILI UPATE MWANAUME ATAKAYE IONA THAMANI YAKO NA KUITUNZA NA SIYO KUKUCHEZEA.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Pages