Nay wa Mitego amshushia ujumbe mzito Diamond ‘Ruge Ametutoa Mbali Natamani Ningemuona’ - Utundu kitandani

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, March 1, 2019

Nay wa Mitego amshushia ujumbe mzito Diamond ‘Ruge Ametutoa Mbali Natamani Ningemuona’

Nay wa Mitego amshushia ujumbe mzito Diamond ‘Ruge Ametutoa Mbali Natamani Ningemuona’

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Nay wa Mitego amefunguka kuwa angefurahi kumuona msanii mwenzake, Diamond Platnumz akihudhuria mazishi ya Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Groups, Ruge Mutahaba.

Akiongea na Bongo5, Nay wa Mitego amesema kuwa angefurahi kumuona Diamond anahudhuria kwenye msiba huo, kwani Ruge ni mtu ambaye wote wawili amewasaidia sana kuwakuza kwenye sanaa.



No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Pages