Mwili wa Ruge Kupokelewa Kifalme….. Hii Hapa Ramani ya Njia Rasmi ya Kuulaki Mwili Huo - Utundu kitandani

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, March 1, 2019

Mwili wa Ruge Kupokelewa Kifalme….. Hii Hapa Ramani ya Njia Rasmi ya Kuulaki Mwili Huo

Mwili wa Ruge Kupokelewa Kifalme..... Hii Hapa Ramani ya Njia Rasmi ya Kuulaki Mwili Huo

Mwili wa mpendwa wetu Ruge Mutahaba utawasili leo saa 9:00 Alasiri kutoka South Africa.

Hii ni Ramani ya njia rasmi mwili utakapopita hadi kufikishwa Hospital ya Lugalo kupumzishwa.

Wakazi wa jiji la Dar es salaam na meaneo ya jirani mtajipanga pembezoni mwa Barabara kuulaki mwili wa mpendwa wetu ukipita.



No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Pages