Nimekaa zangu naangalia Movies NETFLIX,
Mara simu whatsapp ikaingia,
kucheki ni shangazi yangu, ananiambia Aunty naomba nikuuulize tafadhali:
Eti Katerero ni nini?
Na hio KATERERO nani anatakiwa ampatie mwenzake? mwanaume au mwanamke?
KATERERO ni chakula au kama ni Chakula inauzwa wapi?
doh, watoto wa skuhizi wana maswali!
eti nyie mliokubuhu embu niambieni KATERERO ndio nini kwanza, alafu me nitamjibu
Nilimwambia nitampigia kesho msiniangushe basi nyie mliokomaa!
No comments:
Post a Comment