Nashindwa kuelewa Nini Shida kwa huyu Mrembo? - Utundu kitandani

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, February 25, 2019

Nashindwa kuelewa Nini Shida kwa huyu Mrembo?




Huyu dada tupo naye ofisin. Ni mdada ambaye ana umri kati ya miaka 23-26 mzuri mjanja,ana mvuto.shape na sura pia.

Toka nmeajiriwa hapa nina miezi kadhaa tu.mara nyingi huja ofisin kwangu kujadili mambo mawili matatu ya kikazi.she is smart kiukweli.sasa amekuwa akinitatiza na jambo moja.

Mara nyingi nakaa naye ofisini anajifanya kama anajikuna kwenye eneo la K yake.actually ni kama anaipiga piga hivi...huwa najifanya sijaona.lakini nakuwa nmeona.jumatano iliyopita akawa anafanya hivyo huku anajisemesha " nawashwa kama nini sijui hii material ya underwear si mazuri" nikamwambia "pole" akanitizama huku amevuta midomo na kujibu "haiponeshi" halafu akatulia tu kimya.

Mimi sikusema kitu maana yule mdada ni mambo safi sipendi niumizwe kichwa na watu wa namna yake.na ukichukulia mi mgeni hapa kazini. Ijumaa ilikuwa birthday yangu...ofisin waliandaa keki tukala na kufurahi.baadaye akanitumia meseji kuwa weekend kama stojali nimkaribishe kwangu. Nikasema sawa.

Kweli jana asubuhi akanitext " baby boy hujambo? Umeshaanza kukua sasa?" Nikajibu ndiyo nimeanza kukua...ndo akaniuliza "unaweza kula?" Actually nilikuwa najua tu ni utani wa kawaida.nikamwambia inategemeana kwani anataka kunipa nini? Akajibu "Cuma"

Nlishtuka kidogo nikasema sawa hiyo sababu haina mifupa nakula tu... Jana kaja home mida ya saa nne asubuhi. Hapa nlipo ndo nmehamia siku si nyingi sana sijawah leta mwanamke.tumepiga sana stories....mpaka jioni saa mbili ndo kaondoka kurudi kwao anaishi na wazazi.

Tumecheza cheza sana ,kula na kucheck movies... Mpaka jioni anaaga mara mbilimbili nikamsindikiza kwenye gari lake akapanda akanikiss akaondoka.lakini baadaye kanitumia text " mbona unanitesa hivi au unanionaje lakini?" Sijamwelewa kwa kweli maana nawaza siku nzima ya jana nmemfanya nini sioni kosa.basi nmemwomba msamaha kanambia jumamosi ijayo atakuja tena.nisimuumize,nisimtese. Nashindwa kuelewa huyu dada anacholalamika kuwa namfanyia kumkosea sioni.

Nawaza sometime ni ngumu sana kuwa please wanawake. Mimi najitahidi sana kum treat vizuri bado anasema namtesa,namuumiza.wadau nakosea wapi? Huku dar mnaishije na wanawake?

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Pages