Leo nipende kuchukua fursa hii kuwapa sifa njema wanawake wote humu ndani,,
1, wanawake hutupikia chakula
2,hutuzalia watoto
3,huwalea watoto wetu
4,hutunza siri zetu
5,hutufulia nguo zetu
6,Hulea mama zetu
7,hutushauri kwa mambo mbali mbali
8,kuburudisha miili yetu [sex]
9,hutuuguza pale tunapougua
No comments:
Post a Comment