Amefanya ngono na mpenzi wa zamani wiki moja kabla ya ndoa na ni Mjamzito - Utundu kitandani

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, February 8, 2019

Amefanya ngono na mpenzi wa zamani wiki moja kabla ya ndoa na ni Mjamzito



Wanagenzi mpo!.

Mapenzi na ndoa sio jambo la utani, Ukiamua kuingia ujipange vilivyo. Jamaa yangu ambaye tayari ameoa ana mchepuko wake wa muda mrefu, na katika mahusiano yao walikubaliana kabisa kuwa bidada akipata mtu wa kumuoa basi jamaa hana hiyana atamruhusu aolewe.

Huku na huko binti akapata jamaa mmoja aliyefika bei tayari kwa ndoa. Basi binti akamweleza jamaa yangu kuwa tayari ashapata mtu jamaa akamwambia poa kila la kheri katika ndoa yako. Wakati binti anamuarifu jamaa juu ya kupata mtu walisitisha mahusiano ili binti aconcetrate kwa mdau mpya.

Binti akabeba na mimba ya jamaa mpya, Juzi hapa jamaa yangu kamuomba binti waonane sehemu amsabai demu bila hiyana katokea kwenye miadi na tumbo lake la miezi 6. Jamaa akaomba akuzie, kwani kanyimwa! Jamaa kala mzigo kama wake vile na jmosi ya tarehe 16 binti anaolewa rasmi.

Kama unafikiri kumpa mimba mwanamke ndo kumtuliza inabidi ufikirie upya hiyo plan.



No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Pages