Mwanadada Hamisa Mobeto ameingia katika skedno nyingine tena ya kujiingiza katika mahusinao na mwanaume wa kikongo ambae alikuwa akimsapoti sana katika maswala yake ya muziki na kudaiwa kuwa mwanaume huyo kwa sasa ameamua kumuacha baada ya kuonekana akitembea na rafiki wa mkongo huyo.
Habari zinazotolewa katika page za udaku zinasema kuwa , mwanadada hamisa mobeto alikuwa katika mahusinao na mwanaume huyo na aliahidi kumsaidia katika kazi zake za muziki lakini ghafa mwanadada huyo alimsaliti mwanaume huyo bila kujua na kwenda kutembea na mwanaume mwingine ambae hamisa hakujua kuwa ni rafiki na mkongo.
Hata hivyo inaripotiwa kuwa baada ya wawili hao kukutana na kuanza kusimuliana walijikuta wote wako katika mahusiano na mwanamke mmoja ndipo walipoamua kumuacha na kukatisha sapoti walizokuwa wakimpa.
Friday, February 8, 2019
Hamisa Atuhumiwa Kutembea na Mkongo
Tags
# Mapenzi
Share This
About Utundu Kitandani
Mapenzi
Labels:
Mapenzi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment