Kudanga Vs Uchangudoa: Tofauti iko Wapi ? Je Kudanga Imehalalishwa? - Utundu kitandani

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, September 25, 2019

Kudanga Vs Uchangudoa: Tofauti iko Wapi ? Je Kudanga Imehalalishwa?



Wasalaam wakubwa na wadogo ,
Siku hizi msemo wa kudanga umeshika sana momentum yaani tena waziwazi kina dada wanakwambia sina kazi yeoyote nina danga tu, hivi kuna tofauti kati ya kudanga na uchangudoa hadi watu wajitoe ufahamu na kuona udangaji kama moja ya kitu halali kabisa ?


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Pages