WANAWAKE WENYE HIPS NA SHIDA WANAZOKABILIANA NAZO - Utundu kitandani

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, August 16, 2019

WANAWAKE WENYE HIPS NA SHIDA WANAZOKABILIANA NAZO

1. Kwa kuwa huwa wanavutia sana ni rahisi kurubuniwa kwani mwanamke yeye duniani hawezi kutongozwa watu elfu 2000 asimpende mmojawapo. 

2. Hawana raha kwani ukodolewa sana macho na watu, si wanawake wala wanaume. 

3. Upata magonjwa sana hasa fangasi kwani sehemu zao za siri hazipati hewa ya kutosha kufatana na kubanana kwa nyama na msuguano kila watembeapo. 

4. Wana gharama sana kuwatunza kwa sababu hawatakiwi kutembea kwa muda mrefu kuogopa msuguana hivyo umuoapo ni lazima ughalimike usafiri au unatakiwa kumunulia skin taiti kila mara kwa kuwa zinahariibika muda mfupi sehemu ya mapaja.



No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Pages